Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Barabara ya moshi arusha yafungwa kwa muda ni maeneo ya ngulelo. Sakata hilo limetokea baada ya mmoja kati ya mpiga debe wa kituo cha ngulelo ambaye mda mwingine ni dereva toyo almaarufu kama tolu kukutwa amedumbukizwa ndani ya mtaro wa maji machafu. Kwa habari nilizozipata ni kuwa usiku wa jana mara ya mwisho aliondoka akiwa na pikipiki almaarufu kama toyo. Waendesha toyo hao wamefikia hatua hiyo baada ya kutoa taarifa polisi tokea alfajiri ya leo na hadi mda huu polisi walikuwa hawajawasili kuutoa mwili huo mtaroni