aisee ni ndefu balaa ni nashangaa wanashidwa vipi kuyaondoa hayo magari maana ajali imetokea usikuMi nilijua daraja limevunjika kumbe ajali maana hii kamba so mchezo day!
Pita pale Jangwani...usisahau ndoano na chamboNa sisi tunaotoka Manzese tutumie barabara ipi?
Muhimu ni kuokoa muda wa kukaa kwenye foleni.daaah we jamaa hapa cha muhimu ilikua ni kutueleza zaid kuhusu hyo ajali kiundani....weee umeona muhimu kutoa taarifa kwa wapita njia tu....daaaahhh
Pitia kawawa roadNa sisi tunaotoka Manzese tutumie barabara ipi?
Barabara ya morogoro road?