Barabara ya maajabu huko nepal!!

Barabara ya maajabu huko nepal!!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
309404_333701723385919_1388467801_n.jpg
 
hii ingekuwa kwetu tungekufa kama kuku..
 
kama nyang'oro vileee kitu dodoma road
 
Hapo niwe na V6 Toyota Camry yangu Bumblebee Face nayeya kwenye konakama naria vile.

11221857-2011-used-toyota-camry-is-at-auto-excel.jpg
 
dah, hiyo ndo kazi za wahandisi bhana. we do possibolize the impossibility to be possible. kwa wale mliosoma engineering ethics <MT 400> Mnamkumbuka prof mwamila na zile slide zake? kitu kama hii ilikuwemo....

VIVA WAHANDISI...
 
hapo wakati wa kushuka inabidi utumie viatu vya matairi kuwahi appointments zako.
 
Humo ndio ukutane na wale madereve wa Champion au Zuberi hadithi yake itakuwa nzito aisee....:wacko::director:
 
Somanga tu inatushinda....hii bongo bana, mie nishawahi kuiona barabara ya ajabu huko india, yaani ile ingekuwa huku bongo nadhani hamna gari ambayo ingefika kule juu!!
 
Back
Top Bottom