Mkuu unatafutia ulaji hivi hivi.....si unajua tena mtu ukipata nafasi kama hii unasahau kwanza umma uliokutuma? Guys....japo its only a proposal by a jf member, i can see myself in a Vogue ride.😀. Serious note: Ni vigumu kuamini kwamba kosa la mkandarasi pekee latosa kufanya barabara (iliyosanifiwa vizuri) kuharibika mapema kama hii ya Kilwa!