Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,244 Sep 4, 2012 #21 Yericko Nyerere said: Inatishaaaa kwakweli naamini badala ya kuwa The Power of Love sasa itakuwa The Power of Dearth. Click to expand... Teh teh!kwani death ina power?sie wakristo tunaamini mauti haina nguvu....
Yericko Nyerere said: Inatishaaaa kwakweli naamini badala ya kuwa The Power of Love sasa itakuwa The Power of Dearth. Click to expand... Teh teh!kwani death ina power?sie wakristo tunaamini mauti haina nguvu....
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,109 Sep 4, 2012 #22 snowhite said: haya sasa kwa wale wapenda perdiem!bolivia hiyo na mkutano unafanyika kwenye bonge la hoteli baada ya kumaliza huo mlima Click to expand... Hahahahaha....
snowhite said: haya sasa kwa wale wapenda perdiem!bolivia hiyo na mkutano unafanyika kwenye bonge la hoteli baada ya kumaliza huo mlima Click to expand... Hahahahaha....
grndossy JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 311 Reaction score 80 Sep 4, 2012 #23 Kaazi kweliweli. Kwani ni lazima kwenda huko? Hata kwa viboko siendi kama ni per diem wale wenyewe sitaki. Kwa mbali inafanana na barabara ya kwenda Lushoto ukitokea Mombo ingawa ile ya Lushoto haiifikii hii.
Kaazi kweliweli. Kwani ni lazima kwenda huko? Hata kwa viboko siendi kama ni per diem wale wenyewe sitaki. Kwa mbali inafanana na barabara ya kwenda Lushoto ukitokea Mombo ingawa ile ya Lushoto haiifikii hii.
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 764 Sep 4, 2012 #24 mnahangaaaiiiika hebu nendeni Upareni kule wanaita VUDEEEE hahahahahah hutarudi na ki-Virtz chako tena
mnahangaaaiiiika hebu nendeni Upareni kule wanaita VUDEEEE hahahahahah hutarudi na ki-Virtz chako tena
Nambe JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 1,451 Reaction score 534 Sep 4, 2012 #25 kabisaaaaaaa...... wote tutakufa sawa lakini hiki cha kukiona hivi unakifuata mwenyewe,, hell no, naungana na ww mie na kibaiskeli changu.....lol Mr Rocky said: Hapo natafuta kibaiskeli kangu nitembelee biashara ya kuweka roho yangu rehani haipo aise Click to expand...
kabisaaaaaaa...... wote tutakufa sawa lakini hiki cha kukiona hivi unakifuata mwenyewe,, hell no, naungana na ww mie na kibaiskeli changu.....lol Mr Rocky said: Hapo natafuta kibaiskeli kangu nitembelee biashara ya kuweka roho yangu rehani haipo aise Click to expand...
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Sep 5, 2012 #26 MziziMkavu said: (I believe those stone cairns in the picture above mark a spot where vehicles have gone off the road.) Click to expand... Sisi watu wa Dindimo Same Mashariki jimbo la Mheshimiwa Kilango umetukumbusha mbali sana.
MziziMkavu said: (I believe those stone cairns in the picture above mark a spot where vehicles have gone off the road.) Click to expand... Sisi watu wa Dindimo Same Mashariki jimbo la Mheshimiwa Kilango umetukumbusha mbali sana.