KERO Barabara ya Kenyatta (Mwanza–Shinyanga) imekuwa changamoto

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Nucleus

Member
Joined
Nov 23, 2024
Posts
45
Reaction score
99
Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo.

Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama Ile tena katika Jiji la pili kwa ukubwa. Haina hadhi hata ya kuwa barabara ya mtaani tu. Kama Kuna mtu wa Mwanza bado atachagua CCM Basi ajitathmini Kama ana akili timamu.
 
Kajipicha tafwadhali.... Mama anatosha
 
Nimesikia kwamba imepangiwa bajeti mwaka huu wa fedha ngoja tusubiri tuone mama Samia anatufanyia nini wanamwanza.
 
Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo.

Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama Ile tena katika Jiji la pili kwa ukubwa. Haina hadhi hata ya kuwa barabara ya mtaani tu. Kama Kuna mtu wa Mwanza bado atachagua CCM Basi ajitathmini Kama ana akili timamu.
Naunga mkono hoja
 
Barabara nyingi ziko hoi.Hata barabara ya Bagamoyo Pangani nayo imelala.Hata mkandarasi amefukuzwa.

Ukifuatilia kwa makini utagundua hakuwa analipwa kwa wakati kama ilivyo wakandarasi wa barabara za Dar.Waziri wa Ujenzi anaenda afoka kumbe malipo wanachelewesha.
 
Back
Top Bottom