Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo yaanza kutumika

Barabara ya Juu (Flyover) Ubungo yaanza kutumika

Hii itaitwa Mbowe au Mnyika flyover ili mfurahi. Maana mnajifanya kuchukia halafu foleni zikiisha mnawahi ufipa kwenu kufuata malipo. So what, dont you see what is happening there to save people time and fuel

It is wonderful! Hayo yote uliyoyaandika, hakuna hata moja linalonihusu. Na pia mimi si Mataga wa Lumumba wa kusifia na kupongeza kila kitu, na wala si Kamanda wa huko Ufipa uliko kutaja.
 
Kuna muzi hapo anaendesha gari Kama mpumbavu kidogo asababishe ajari. Mtu unashuka kwa Kasi alafu unashindwa kumentain kwenye upande wako unaingilia upande wa mwenzio?
 
Back
Top Bottom