Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Nilikuwa namaanisha hizi barabara ndefu Mkuyuni-National na Buhongwa-Kishiri-Igoma-FelaZote zina lami hizo mkuu waliweka last year! Au unasemea zipi
Nilikuwa namaanisha hizi barabara ndefu Mkuyuni-National na Buhongwa-Kishiri-Igoma-FelaZote zina lami hizo mkuu waliweka last year! Au unasemea zipi
Hapo upo sahihi... Ila watu mnapenda machaguo mengi kumbe😁 kwamba uchague kwa raha zako upite town au lahNilikuwa namaanisha hizi barabara ndefu Mkuyuni-National na Buhongwa-Kishiri-Igoma-Fela