A
Anonymous
Guest
Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako.
Kiukweli barabara ni mbovu sana hasa kwa nyakati hizi ambazo mvua inanyesha, tunapitia nyakati ngumu sana katika kupita hiyo njia.
Na uongozi au viongozi waliopo ni hawazingatii hilo, ila ni sehemu ambayo inatakiwa kuangaliwa sana kwa jicho la tatu maana ubovu wa hii barabara unaonekana wazi bila kificho.
Asanteni.