TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 373
Lakini naammini ipo sheria ya speed ya gari linapopita katika makazi ya ya watu ingawa ni highway madeeva wakiifuata itapunguza sana ajali nadhani tumeona ongezeko kubwa la ajali kila barabara zetu zinapo zidi kuboreshwa madereva nao ndio wanazidi kukanyaga mafuta.ni kweli hakuna sheria ya matuta highway. wananchi wanatakiwa waeleweshwe kuwa na taadhari wanapovuka au kupita pembeni mwa highways thats all