Barabara hii ni muhimu sana kama itajengwa kwa kiwango cha lami. Itaunganisha mikoa ya kusini na Dodoma. Bidhaa kama cement ya Dangote itawezafika Dodoma na mikoa mingine kwa gharama nafuu hivyo bei kuwa chini. Tunaomba serikali ichukue hatua ili barabara hii ijengwe kwa kiwango cha lami.