falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,227
- 9,356
Wangetukopesha wasingetuamuru tuvunjeHivi wametufadhili au wanetukopesha?!
Wangetukopesha wasingetuamuru tuvunje
Tushaanza kuisoma namba?Mkuu tumekopeshwa, nani akupe pesa ya bure?
Wanavunja tena? imekuwaje? SMH
CCM inaturudisha Kwenye stone age.
Tukiongea tunaonekana wabaya, kwa hiyo hizo hela zilizoenda si hasara jamani
Ndio hivyo kero tupu vibarabara vyenyewe vyembambaaaaaa pasi kila siku
ungejionea hali halisi usingegusia mambo ya fyl overTotal Demolition?Labda ukomo wake wa kutumika umefika - Decommissioning ina muda sasa tangu ijengwa hivyo labda wanapisha ujenzi wa flyovers. Mambo ya kihandisi haya
barabara km 12 inachukua miaka wakati ilikua imergence plan....god have mercy on us