Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,867
Nani kakwambia mradi uko chini ya wizara ya ujenzi? Kanywe maji ulale.Kwahiyo anayemkomalia mkandarasi mradi uishe ni nani?,waziri wa ujenzi aliyepita?, nawewe ukiondoa siasa kichwani mwako utanielewa.