Haya, sawa. Sasa twende kwenye tatizo kuu alilolisema mleta mada!Bagamoyo Road sio njia ya kutoka na kuingia Dar? Vipi Nyerere Road? Kwanini umesema ni njia hizo mbili tu ulizozitaja ndo za kuingia na kutoka dar?
Kwani kambi hazihamishiki?Hizo njia za chocho kwa Kilwa Road ulitarajia zipite wapi zitokee wapi? Ukitoka Mbagala, ukafika Mission, geografia hairuhusu kuwa na njia za chocho!
Ukifika Mtongani zipo za chocho kiaina lakini hazikufikishi popote kwa sababu ukivuka tu kwa Azizi Ally, kulia unakutana na Uwanja wa Sabasaba, TPDC Mess, na TIA huku kushoto unakutana na Kambi ya Jeshi ya Twalipo!
Kutoka Twalipo unakutana na Salvation Army, JKT, Pollice Barracks, Polisi Ufundi, mara umetokea Bendera 3 close na Bandari. Kulia nako hali ipo hivyo hivyo!!
Hiyo Morogoro Rd unayosema ni kwa sababu along the road, zaidi ya 95 ni makazi binafsi, na kwahiyo kuna mitaa!!
Langu si lazamani sana ni modeli ya mwaka 1964 Toyota Corona niliinunua kwa mzungu alikuwa anakaa Mtoni Mtongani.Watu wa Mbagala epukeni kununua magari mabovu yanayoharibika njiani na kusababisha foleni.
Mna m boa dogo.
Acha utani bana,Kimbiji unapajua ww?Njia ya kwenda kusini inakuja kuongezwa huku Kimbiji na stendi ya magari yote itakuwa hapo.
Acha utani bana,Kimbiji unapajua ww?
Yaani uishi Mbagala stand Kimbiji?
Are u seriously?
Alafu ya Mgari ya kwenda Kusini,kusini ipi Mbuyuni?
UmesomekaNjia ya kwenda kusini inakuja kuongezwa huku Kimbiji na stendi ya magari yote itakuwa hapo.
Unatumia lugha rahisi sana ni km vile wote tunakaa Kimbiji ya kwa mpalange..Si inajengwa pale kwa Mpalange?
Yaani uamishe kambi za jeshi kwa ajili ya kujenga feeders road, au?Kwani kambi hazihamishiki?