Barabara Kimara imefunguliwa

Barabara Kimara imefunguliwa

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
434
Reaction score
112
Hatimaye barabara ya Kimara imefunguliwa, kwa wanaotoka Mbezi hali ni shwari kabisa.

Big up Magufuli.
 
Hata hivyo nitahama tu huku. Labda waweke maji.
 
Duh safi sana, angalao muda wakukaa barabaran utapungua kidogo kwamaana unakaa barabarani kama unaenda Mwanza...!!!


@laxda
 
Usihame mkuu,maji yamefika kimara,yatafika tu mbezi vumilia kodi iishe.

Mkuu sijapanga!! But niko radhi kupangisha nyumba manake Mbezi ina kero nyingi achilia mbali foleni. Maji, barabara mbovu.... mambo yanaendeshwa ki chama chama tuuu.
 
Mkuu sijapanga!! But niko radhi kupangisha nyumba manake Mbezi ina kero nyingi achilia mbali foleni. Maji, barabara mbovu.... mambo yanaendeshwa ki chama chama tuuu.

kwa kweli me mwenyewe mwaka hauishi huu,..ntahama mana dah
 
Huko ndiko nakopatia mkate wangu wa siku,sina option ya kuhama ntapaswa kwenda tu
 
maguguli alikwama na shuruba yake aliona.....si unajua tz mpaka kigogo apatwe na dhoruba ndiyo watatue matatizo
 
Picha yanini,huijui barabara?
kweli pingu mkoka hata usipige picha na kasimu ka mchina kwani habari haijakamilika juzi KATI ilikuwa kuingia au kutoka Ubungo Terminal ni Masaa ma2 kwa basi hadi Kimara
stop Over sasa ni wapi hadi wapi pamefunguka

  • JF ipo Dunia nzima (Earth) sio hapo tu Kimara tu
  • tuamini vp tunapoambiwa kuanzia Over (Flying over?) au Stop Over
  • usikute imefunguliwa na bado ni ya vumbi kama lile la daraja la Dumila
Huyu Magufuli aje Dodoma kwenye mchakato wa Katiba, naye ashiriki sio kuvunja majumba tu maana kuna kero nyingi, hasa wanapokarabati barabara za mijini malipo hayaeleweki ukibomolewa
Kero za magari makubwa, mengine yana kelele, mjini hatulali ukichanganya na Kero za sauti za WAUMINI WA MADHEHEBU hawana tofauti na magari kupita katikati ya Miji (Sound Pollution) Hapa UHURU WA MTANZANIA UPO WAPI? (Bianadamu wote ni sawa)
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo nitabaki peke yangu mbezi maana wana jf wote mnahama
 
Back
Top Bottom