Bara la Afrika kuna kila kitu cha neema Ardhi nzuri,Madini yapo,Mafuta yapo na Gesi ipo lakini hatuna viongozi wazuri. Viongozi wetu wengi wao ni mafisadi wala rushwa wezi na majambazi tutaendelea kweli jamani? Tutakuwa siku zote ni masikini na watu tunao omba omba tu mpaka mwisho wa dunia.