Bara la Afrika lazidi kupasuka vipande

Siyo rahisi....Bonde la ufa linaikata Tanzania na baadhi ya nchi ili zitengeneze hicho kipande kama bara. Siyo rahisi kwa sababu shughuli za kibinadamu zinaweza kuhamisha bahari, lakini utafiti wake unaonyesha bahari inavamia makazi ya watu haiwezi kutokea hata kama ingechukua miaka mingi. Ni rahisi kusema bahari inazidi kupungua kuliko kusema bahari inazidi kuongezeka labda ihame!?
 
Mungu alishamaliza uumbaji tayari kinachotokea sasa ni uzee na kukongoloka kwa dunia... Mtu Mzee akikongoloka meno huo si uumbaji bali ndio bye bye hiyo
Kumbuka msemo wa wahenga..hujafa hujaumbika.
 
lakini utafiti wake unaonyesha bahari inavamia makazi ya watu haiwezi kutokea hata kama ingechukua miaka mingi.
Labda hulijui hili bara vizuri..sehemu kubwa ya bahari ya hindi ilikuwa nchi kavu yenye misitu minene.yaani Gondwana.. Mchakato wa bahari kumeza ardhi na viumbe vlivyomo ni kitu cha kawaida na hasa linapotokea tetemeko kubwa. Mchakato huu ndio huwa chanzo cha gesi asilia na mafuta.
 
Hili swali nilikua najiuliza muda mrefu sana hasa kuhusu ziwa lukwa.
Nilikua najiuliza mbona lile ziwa linavisiki vingi sana. Lakini leo nimepata jibu nashukuru sana
Mdau kwa mchango wako
 

Kwa waliosoma Plate Tectonics na Isostasy (Isostatic Equilibrium) hawatapa ugumu kuelewa kinachoelezwa hapa, hasa ukizingatia swala zima la Global warming na kasi ya kuyeyuka kwa theluji kubwa za Arctic & Antarctica
 
Kwa waliosoma Plate Tectonics na Isostasy (Isostatic Equilibrium) hawatapa ugumu kuelewa kinachoelezwa hapa, hasa ukizingatia swala zima la Global warming na kasi ya kuyeyuka kwa theluji kubwa za Arctic & Antarctica
Uko sahihi..tunatembea juu ya tectonic plates.
 
Ni bora tumeguke tuunde bara letu tutapata nafasi ya kushiriki KUMBE LA DUNIA na baadhi ya michenzo mingine inayotoa wawakilishi wa mabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…