Bila shaka atakuwa ametokea kanda ya ziwaUmetokea Kanda ya ziwa?
nimeona mkuu...ntaacha pombe ila kwa msaada wa wife tuuu...so nipo nawinda mchumbaGentleman P pitia uzi huu, unaona athari za kuchugua mizigo Bar?
Malizia kama ili wajifunzeNikiwa bar fulani hivi jana, baada ya kutandika balimi zangu kadhaa, mara paap akapita kimwana!
Kutupa ndoano ikanasa bila hata chambo.
Baada ya chupa kadhaa tukaelekea kunako uwanja wa shughuli......
Ile Naamka asubuhi, nikasema ngoja niendelee kujitafunia kitoweo changu maana jana ilikuwa ni uzinduzi tu wa tamasha...
Nikatuma mkono kwanza u-search network...
Kisha kidogo nikaanua blanket ili niianze shughuli.....
Tobaaaa!
Nilichokiona ilibidi tu nisingie kuumwa tumbo la ghafla niondoke zangu! Nimekoma kuopoa maeneo yenye taa za rangi haswa purple.
C&P
Kanda ya ziwa sisi ni wanjanja na majasiri sanaBila shaka atakuwa ametokea kanda ya ziwa
Duh.. niambie hilo chimboMwananyamala kuna baa hua haiwashwi taa kabisa...
Ile laki mbili umeshapoza machungu tayarinimeona mkuu...ntaacha pombe ila kwa msaada wa wife tuuu...so nipo nawinda mchumba
Lipo kwa kopaDuh.. niambie hilo chimbo
Hajasema kakutana na niniAmekutana na m.b.o.o bila shaka