Bar za kidigitali!

wakishalewa si watakojoa pembeni ya hizo urinal
 
Uchafu tu huo.mtu unakunywa pombe huku mkojo unanuka.
 
Kipimo cha kama rizimu imefika mahali pake mnywaji atajua kutonaka na movement za hapa na pale kama kwenda msalani sasa hapo watataka watu wapagauze vyumba vyao maana mtu unajipimiawee kojo likija unasogeza kiti unamwaga unawndeleza kilaji kasheshe muda wakuondoka hata mguu kusogeza huwezi..hii itavunja sana ndoa na wengi kama bongo tutapoteza vibarua vyetu.
 
hapo ni kunywaaaa na kukojoaaa tuuuuu 24/7
 
kwa iyo bar kama izi ni za wanaume tuu mana miundombinu yake ni kibaguzi sana
 
Inabidi zitangazwe kuwa ni Bar kwa wanaume Tu
Ubaguzi wa kijinsia
 
sasa hapo utafanya watu wadondoke tu wakishalewa ,... pombe ikifika mahala pake ni pale unaenda chooni unarudi unatembea kama unapanda ngazi .. ha hahaha
 
hebu piga picha pembeni yako kakaa mrembo matata halaufu unalichomaa shaaaa..Wengine wanaulemavu kabisa kama punda
 
hebu piga picha pembeni yako kakaa mrembo matata halaufu unalichomaa shaaaa..Wengine wanaulemavu kabisa kama punda
unachomo kakibamia ha haha ha mpaka ushushe suruali kidogo iwe ndefu ili ufikie sehemu ya kukojoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…