Kuna ile inayoitwa M.....t..ko bar ipo karibu na Mianzini, ipo pomba na kila mhudumu kajaliwa makalio makubwa, nahisi ili uweze kupata ajira katika hiyo bar huna budi kuwa na makalio makubwa, hakuna mhudumu hapo Ma....ko bar asiyekuwa na hayo makalio thus why wamepaita Ma...ko bar!