mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Wakuu heshima kwenu
kesho naelekea arusha kwa gar ya magazet asubh sana so by sa11 ntakuwa nimefka
naomba tujuzane ni bar gan arusha mjin ina watoto wazur ili nisiwe bored ntakpokuwa huko.
ahsanteni kwa michango yenu wote
TOGETHER TUNAWAKILSHA Mapuunda
Tafadhari ndugu;
Kwa sasa tupo busy na mchakato wa kuandika Katiba Mpya, hivyo bajeti yote tumeimwaga Bungeni hatuna pesa za kununua ARV kwa wagonjwa wapya wanaojitakia kama wewe.
Hali yenyewe katika Zahanati zetu ni kama hii:-
Pia tuna mipango kabambe ya kuhakikisha tunabakia madarakani mwaka 2015, hivyo bajeti tumeitenga huko, hatuna pesa kwa ajili yako pale Muhimbili:-
Hivyo ndugu nakushauri nenda na mke wako au Girlfriend wako na siyo kwenda kuokota hao vicheche.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
![WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI[1]_.JPG WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI[1]_.JPG](https://www.jamiiforums.com/data/attachments/3207/3207819-09df6f218931f2442d94f594d60d441d.jpg?hash=Cd9vIYkx8k)