Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
tangazo la biashara auKuna bar mpya ijulikanayo kama target complex mbezi beach ni kali balaa. Iko jeshini pale. Kweli jeshi sasa linapiga hela maana bar yao ni nzuri mno. Gharama yake si chini ya million 150 kutengeza ila sijui hela wametoa wapi au ni ya mkuu gani.
Kuna bar mpya ijulikanayo kama target complex mbezi beach ni kali balaa. Iko jeshini pale. Kweli jeshi sasa linapiga hela maana bar yao ni nzuri mno. Gharama yake si chini ya million 150 kutengeza ila sijui hela wametoa wapi au ni ya mkuu gani.

Hakuna nilichokielewa hapa mkuu,.
Mara Mbezi beach, Jeshini!! Tangu lini Mbezi Beach kukawa na Kambi ya Jeshi!!
Hapo umbea wake ni nini?Kwani kumiliki hadi iwe ya mkuu?? Kuna watu wana hela kuzidi hyo mil 150.
Fanya yako, acha umbea.
Kwani kumiliki hadi iwe ya mkuu?? Kuna watu wana hela kuzidi hyo mil 150.
Fanya yako, acha umbea.
Kuna bar mpya
ijulikanayo kama Target Complex Mbezi Beach ni kali balaa. Iko jeshini
pale. Kweli jeshi sasa linapiga hela maana bar yao ni nzuri mno. Gharama
yake si chini ya million 150 kutengeza ila sijui hela wametoa wapi au
ni ya mkuu gani.
Wahudumu wake ni wanajeshi wa kiume.vipi wahudumu wake wanaeleweka ?au ndio walewale tu wa uswahilini?
Wahudumu wana SMG mgongoni?vipi wahudumu wake wanaeleweka ?au ndio walewale tu wa uswahilini?