Bar ya Target Complex iliyopo Mbezi Beach

Kim Jo Ngil

Member
Jan 3, 2014
45
17
Kuna bar mpya ijulikanayo kama Target Complex Mbezi Beach ni kali balaa. Iko jeshini pale. Kweli jeshi sasa linapiga hela maana bar yao ni nzuri mno. Gharama yake si chini ya million 150 kutengeza ila sijui hela wametoa wapi au ni ya mkuu gani.
 
Kuna bar mpya ijulikanayo kama target complex mbezi beach ni kali balaa. Iko jeshini pale. Kweli jeshi sasa linapiga hela maana bar yao ni nzuri mno. Gharama yake si chini ya million 150 kutengeza ila sijui hela wametoa wapi au ni ya mkuu gani.
tangazo la biashara au
 
Weka picha
 
mbezi beach jeshini? ina maana kuna kambi ya jeshi tangu lini?
 
Hakuna nilichokielewa hapa mkuu,.

Mara Mbezi beach, Jeshini!! Tangu lini Mbezi Beach kukawa na Kambi ya Jeshi!!
 
Hakuna nilichokielewa hapa mkuu,.

Mara Mbezi beach, Jeshini!! Tangu lini Mbezi Beach kukawa na Kambi ya Jeshi!!

Nimeona bar mpya maeneo ya shabaha mbezi beach. Bar ipo katika kiwanja cha jeshi ndio maana nikasema mbezi beach jeshini kwa walenga shabaha. Bat inaitwa target je ni mali ya jeshi?
 
Kwani kumiliki hadi iwe ya mkuu?? Kuna watu wana hela kuzidi hyo mil 150.

Fanya yako, acha umbea.
 
Inasemekena hiyo ni bar ya mjasiliamali mmoja aliyekodishiwa hiyo sehemu kwa muda mrefu na jeshi!!!Usiniombe picha nenda kaione mwenyewe.
 
vipi wahudumu wake wanaeleweka ?au ndio walewale tu wa uswahilini?
 
Kuna bar mpya
ijulikanayo kama Target Complex Mbezi Beach ni kali balaa. Iko jeshini
pale. Kweli jeshi sasa linapiga hela maana bar yao ni nzuri mno. Gharama
yake si chini ya million 150 kutengeza ila sijui hela wametoa wapi au
ni ya mkuu gani.

Unataka kutuambia kuwa nchi hii sasa kuna wanajeshi walevi? Kama ndivyo basi tumekwishaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom