Wakuu, habari ya jumamosi?
Jana nimepita maeneo ya kinondoni nikakuta pale govornors kuko kimia sana. Nikajua labda kuna shida.
Leo hii nampigia mshikaji tukutane govornors ananiambia imefungwa ina kama siku 3 hivi au nne.
Kwa mnaojua imefungwa kwa sababu gani?
Alieifunga hakuangalia maslahi ya watu wengi, mimi hilo eneo ndio hua nakuja kuokota watoto wazuri , aliefunga hakuangalia maslahi ya watu kama sisi.
Anyway, kama kweli imefungwa najua itarejea hivi karibuni. Itabidi nizengee maeneo ya elements hadi pale mambo yakirejea.