Bar maarufu kwa Kuchakachua Bili

Bar maarufu kwa Kuchakachua Bili

Kikelelwa

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
176
Reaction score
124
Wandugu, Kuna Bar Mbili Maarufu masaki zinatazamana maeneo ya kilima Nyege, Yaani ukiingia Bar hizo kama wewe mgeni wahudi wanakupokea kama mfalme kuanzia unapo ingia.

Mimi mwanzoni nilifikiri ni ukarimu wa hawa wahudumu kumbe ni njia ya kukulegeza ndio wakupige vizuri kwenye bili hasa vyakula.

I wish I could name these Bars but let me spare them for now.
 
Kilima nyege? Mwe! haya mambo bhana........ sasa kwa nini kinaitwa hivyo,
 
Kilima nyege? Mwe! haya mambo bhana........ sasa kwa nini kinaitwa hivyo,

kwenye huo mlima ukipita na gari speed kidogo inakua kama inaruka then you get some feelings of the above.
 
pole cha mlevi huliwa na mgema

marikiti mgema ni mtengeneza pombe na huyu anaongelea wahudumu na pia si dhani kama wote wanoingia hapo kula ni walevi I know the place and I have been a victim
 
Zinaitwa Jacks na Didis kile kilima ukitelemka na gari speed tumbo lazima lishtuke.
 
Wandugu, Kuna Bar Mbili Maarufu masaki zinatazamana maeneo ya kilima Nyege, Yaani ukiingia Bar hizo kama wewe mgeni wahudi wanakupokea kama mfalme kuanzia unapo ingia.

Mimi mwanzoni nilifikiri ni ukarimu wa hawa wahudumu kumbe ni njia ya kukulegeza ndio wakupige vizuri kwenye bili hasa vyakula.

I wish I could name these Bars but let me spare them for now.

Didi's na jackies......................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom