Bar: Kuna mtu anataka kumdhuru Baba wa kambo.

Bar: Kuna mtu anataka kumdhuru Baba wa kambo.

Habari za jioni jf!

Kuna baba yangu wa kambo aliemuoa mama mdogo ni rafiki yangu sana na huwa tunakata maji kama mamba Kwa pamoja.

Leo mida hii jioni kuna baa moja maeneo ya river side jina naihifadhi ipo ubungo baba huyo wa kambo kanipigia simu akiwa bwii huku akiniomba nikamchukue haraka.

Kwenda akanionesha bapa lakini kinywaji kimebadilika rangi kutoka nyeupe hadi gold.Nikamuuliza kulikoni akasema amepata machale baada ya kurudi kutoka toilet akakuta kinywaji kimebadilika rangi mabaamedi walikwepa maswali yetu.

Tumeondoka na bapa Kwa hatua zaidi japo hatujui tuanzie wapi ushauri wenu tafadhali
Sio zambezi kweli hapo
 
There is no upper limit of dosage of vitamin C. The excess is usually excreted in urine making it just an expensive urine.
How ever the high dose of vitamin c (arround 2000mg) of daily intake is a probable cure of poisoning, cancer and HIV.

Nichumu Nibebike ,
Mkuu,
Noted.
Muito obrigado.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom