ulivyotaja break point umenikumbusha jamaa yang alichukuaga madem wawili nakwenda nayo gheto wako tungi mbaya madem yakamchomolea jamaa elf50 usiku, jamaa naye bila kujua hakamka usiku akachomoa elf 40 kwenye pochi yao akijua kawaibia, asubuh akawapa elf20 kama malipo na supu juu, baadaye akatambua aliibiwa kishenz naye