Bao ngapi umewahi kupiga katika historia yako ya mapenzi?

Bao ngapi umewahi kupiga katika historia yako ya mapenzi?

Haijalishi kwa sasa una umri gani, kinachotakiwa ni kushare idadi kubwa kabisa ya magoli uliyowahi kufunga katika mchezo mmoja. Mfano, enzi hizo nipo Kwenye ubora wangu nimewahi kufunga goli tano per one sex match(Tulikesha).
Nilishawahi kupiga bao 13 ndani ya usiku mmoja, kesho yake nilikuwa siwezi hata kutembea na magoti yalikuwa yamechubuka.
 
Wingi wa idadi ya bao hu atokana na mambo yafuatayo.
Upya wa partiner, masimango na matusi uyapatayo katika 'season' ya kutongoza, kutozwa pesa kama sharti la kupewa penzi, kuzungushwa sana na kufanywa mjinga, 'uzuri' wa kile ulichokipania kwa siku nyingi kukipata.
Mambo machache niliyoorodhesha hapo huchochea kinyongo cha mapenzi na kujikuta mtu anajituma na kufyatua magoli asiyoyatarajia kama njia ya kujifariji.
Utaalamu wa kuhesabu 'magoli' ni visa na uhuni wa kitoto, kwa kuwa mchezo wenyewe unafananishwa na kula chakula.
Sasa mtu anapokula kwa kujihesabia matonge, elewa huyo hana utafiti wenye tija, anakuwa akifanya mchezo.
 
Nilipokuwa balehe ya Kwanza ( miaka 14 hadi 16 ) nilikuwa ' nakojoa ' bao / goli 1 tu ambalo lilikuwa linatoka kwa Kasi kama risasi za AK 47, balehe ya Pili ( miaka 17 hadi 29 ) kusema kweli ' nimekojoa ' sana bao / goli 5 hadi 7 tena mfululizo, balehe ya Tatu ( miaka 30 kuelekea 40 ) naona ' nakojoa ' kwa taabu sana bao / goli 2 na nahisi kabisa kwamba balehe ya Nne na ya Ukingoni mwa maisha ( miaka 41 na kuendelea au infinity ) nitakuwa ' nakojoa ' nusu goli / bao au natoa tu Upepo kama unaopatikana katika ' Pampu ' za Kujazia Baiskeli. Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie Mwanao nisiadhirike / nisiumbuke.
We mzee Gentamycine unanichekeshaga sana
 
HAHAHAHAHAHAHA!!! WE JAMAA! DUH UNATAKA KUNIVUNJA MBAVU AF HAKUNA SPARD!!!hahaha
 
Wastani maana kuna wengine niliwapga kipigo cha jku (7 bila) wengine kimoja tu ukitafuta hapo wastani ni kama kipigo cha simba walichokitoa kwa gendarmerie cha 5-0 (198*5@=490)
 
Back
Top Bottom