Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni

Bao la kwanza huwa linawahi,kwahiyo jamaa aangalie namna ya kurudia la pili for better sex.si kweli kaka, hizo story za kijiweni mara nyingi ni uongo na kujisifia, tena huwa ni za teenagers, in reality huwa si kweli. inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem, lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.