Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,935
- 1,006
- Thread starter
- #41
nimetoka kapa,ngoja nijiendee kwny mazoezi ya kwaya mie!
Ukiisha kufanya mazoezi akili itakuwa imetulia. usisahau kupitia ukatuambia mpinzani anatumia kipi.
nimetoka kapa,ngoja nijiendee kwny mazoezi ya kwaya mie!
Bao linanoga ukitumia dole gumba
nimetoka kapa,ngoja nijiendee kwny mazoezi ya kwaya mie!
hahahaaa!!akuuuu huku sipiti tenaUkiisha kufanya mazoezi akili itakuwa imetulia. usisahau kupitia ukatuambia mpinzani anatumia kipi.
Khaa..kweli wa bara ni wa bara tu!!!
nimetoka holaaaa...shem twen'zetu tukaimbe kwaya..lol
Hii sredi yako inahusiana vipi na MMU?
Bao linanoga ukitumia dole gumba