BAO by WAGOSI WA KAYA

BAO by WAGOSI WA KAYA

kidE Meshack

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
92
Reaction score
7
Wimbo wa '''BAO''' wa WAGOSI WA KAYA

Umejaa 'Ubunifu' sana mle ndani... Lakini ukiusikiliza Juu Juu unaweza sema jamaa wameimba Matusi...

Mstari upi unaoupenda mle ndani???
 
Nimbo nyingi za Tanzania zimejaa matusi yawe ya wazi wazi ama mafumbo ambayo huitaji muda kutafsiri mtunzi alimaanisha nini. Mfano ni wimbo unaopigwa kila sehemu na unaimbwa sana na watoto wadogo kwa sababu mtunzi amamhusisha mtoto mdogo na Baba , Mama , na Mahawara zake, |" BABA YULE---------' BABA----BABA HUYO!!!!!!? Wimbo huu theme yake BASATA hawajaona kuwa UNA CORRUPT MORAL ZA WATOTO?
 
Wame imba halihalisi ya maisha watu wanayo yaishi .
Sasa ulitaka aimbe nini
Acha ku pretend maisha yasiyo ya kitanzania .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom