Banner Printers zinahitajika upesi.

Banner Printers zinahitajika upesi.

super thinker

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
371
Reaction score
110
Habari ndugu

Kama una taarifa kuhusu zinapopatikana banner printers naomba unitaarifu juu ya Specifications on
1.Brand
2.Capacity na
3.Bei
Pamoja na hayo mahali zinapopatikana itakuwa jambo bora. Kama wewe ndio unazo,acha contacts ili tuwasiliane ukiwa umetoa specifications kama mahitaji hapojuu yanavyojieleza ASP..

Thanks
 
Back
Top Bottom