.
.
Kaka nasikitika kuona hujui jinsi maisha yanavyoenda kaka...
.
Yaaani tena hizo njia nilizo sema hapo juu huwa zinatumiwa na hackers wakawaida ku hack website ndogo ndogo..
.
Na Cpanel huwa hawai hack ila ni admin page tu huwa inafanyiwa brute force/ dictionary attack.....
.
Na kuna tools kama Hydra, nCrack na Medusa japokuwa iko slow zinafanya kazi nzuri sana
Hizo zikigoma tuna upload shells
.
na pakuanzia huwa wana try port
2082 or 2086 zikigoma, mana ake there is a high
probability they arent running
cPanel. they might still be
running something else, but not
cPanel. Na sio kila websites zina
admin panels. some are hand
coded, particularly kama they arent
running other popular premade
softwares.
.
Na vile vile kwa website nyingine to find cpanel
account tuna anza na ku find configuration
files on all site on the server, then
find user name all user in server.
Next..
You can crack it using username
as user and password in
configuration files as password
.
Ila kama admin page tutashindwa kabisa kuiona basi codes hizi apa zitatumiwa japokuwa sio sahihi kuziweka hapa
.
Code:
$trying = array
('admin/','administrator/','admin1/','
admin2/','admin3/','admin4/','admin
5/','usuarios/',
'usuario/','administrator/','
moderator/','webadmin/','
adminarea/','bb-
admin/','adminLogin/','admin_
area/',
'panel-administracion/'
...
.
Usishangae watu wana hack tu Goverment website Jaribu kuwa aware dunia ndo inaishia hii