Bank ya NMB kunani na pesa zangu?

Bank ya NMB kunani na pesa zangu?

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5,980
Reaction score
3,115
Tangu mwezi jana kila nikiingia kwenye account yangu nakuta pesa inapungua kidogo kidogo, hzi pesa zinaenda wapi wakati charge ya mwez najua huwa wananikata 3000 kila mwezi?? Sijaingia muda kuangalia salio ajabu leo nimekuta kiasi kikubwa hakipo, nawapigia hawapokei sim, wana maana gani??

Na hata nikiamisha pesa kutoka Acc yangu ya NMB kwenda kwenye acc nyingine ya NMB huku kwangu inatoka ila kwa mlengwa inafika nusu, hii nin lakin.
 
Yaani hata kama yuko chato aende mlimani city? Mwambie aende tawi lililokaribu nae bhana

Subiri, j4 nitaenda NMB HOUSE maana tawi lililokaribu na mim nilishachafuana nao kwasababu hii mwaka jana
 
Nenda tawi lolote lililokaribu na ww ...omba bank statement itaonyeshaaa jins acc yako ilivyokuaa inafanyiwaa transactions.....utajuaa na naamin watakupa maelezoo mazuri....pesa ya mteja huwa haipotei bank....
 
Asante, nishasolve hilo tatizo.
 
Yaani hata kama yuko chato aende mlimani city? Mwambie aende tawi lililokaribu nae bhana

Watu wengne bwana kwahyo we pakutolea mfno umekuona chato tu kwan ungesema katavi au lushoto ungepungukiwa
 
Back
Top Bottom