Hili nalo likatizamwee aiseeeNa wanadai mikopo yenyewe inachukua muda mrefu mpaka miezi miwili.
Hizi taasisi zinalalamikiwa sana sijuwi kwanini watu wanapenda kwenda huko na mamlaka ziwachukulie hatua kwa wanavyofanya ikibidi zifungiwe.Pia kuna haja ya bank kuu kurusu bank pekee tu zinazotoa huduma rasmi za kibeki na siyo viataasisi uchwaraHao jamaa hawana tofauti na wale wenzao wa Bayport na Platinum.
Mkuu, hii inahusianaje na madai ya mtuma Uzi?Mwalimu kwenye moja na mbili akiwapelekea pumzi ya moto wakopeshajiView attachment 3062495