Bank wanahitaji Swift Code kutoka kwa aliyenitumia pesa toka Adsense. Msaada...

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Mar 24, 2019
374
483
Anaefahamu jinsi yakupata swift comfimation za adsense bank wanataka hizo swift confimation kutoka kwa adsense waliotuma Sijawai toa pesa kwa wire transfer ni mala ya kwanza
 
Umetumiwa pesa kwa njia gani?
 
Anaefahamu jinsi yakupata swift comfimation za adsense bank wanataka hizo swift confimation kutoka kwa adsense waliotuma Sijawai toa pesa kwa wire transfer ni mala ya kwanza
Hawa wanakusumbua, kama ni wire transfer wewe ndo unampa mtumaji swift code, siyo wewe utoe swift code ya aliyetuma haiko hivyo, kama ela katuma imefika tanzania wao watakuwa wana details za ilikotoka sasa uwapeswift code ya mtumaji ili iweje na wakati wewe hahitaji kuwa na swift code ya mtumaji.
 
Ndo maana nimemuuliza ni bank gani? Pengine kakutana na mtu ambaye haelewi chochote..
Kwanza hela ya adsense inaingia direct kwenye acc..
Sijui hao jamaa wanamdai code zipi?
 
Unajua kuna wafanyakazi bank vilaza na kwenye mitandao ya simu hawana hata basics ya huduma wanazotoa halafu ukutanae na mtu wa namna hiyo awe hajui na hajui kuwa hajui. Atakueleza ujinga na kila ukijaribu kumwelewesha anakuwa mbogo kisa yeye anafanya kazi bank.
 
wananidai swiftconfimation nilienda na simu yakngu na rissiti ya adsense akabofays bofya kwa computer akanidai swift confimation
 
Swift confirmation unapata mtumaji labda kama wewe mtumiwaji unataka kujilidhisha kama huyo mtu katuma pesa bila ya wewe kwenda benki kucheki balance utamuomba hiyo text akutumie au labda benki huo muamala hauonekani kuingia ndo maana wanakuomba hiyo ili waweze kujua tatizo liko wapi ni kama wewe tu unavyoenda kwa Wakala wa Mpesa kutoa pesa anakuomba umuonyeshe sms ya muamala uliofanya.

Hii hapa swift confirmation niliyotuma pesa nje
IMG_20200926_214701_644.JPG
 
Swift confirmation unapata mtumaji labda kama wewe mtumiwaji unataka kujilidhisha kama huyo mtu katuma pesa bila ya wewe kwenda benki kucheki balance utamuomba hiyo text akutumie au labda benki huo muamala hauonekani kuingia ndo maana wanakuomba hiyo ili waweze kujua tatizo liko wapi ni kama wewe tu unavyoenda kwa Wakala wa Mpesa kutoa pesa anakuomba umuonyeshe sms ya muamala uliofanya.

Hii hapa swift confirmation niliyotuma pesa nje View attachment 1581875
kwaio unaweza kusema pesa ilikua bado haijafika tanzania ndomana ikawa hivyo c ndivyo mkuu maa wire transfer c wanasema inachukuaga muda kufika
 
Back
Top Bottom