Bank teller/loan officer jobs

TATIANA

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
4,627
2,272
Habari wakuu,

jamani hebu nisaidieni natafuta kazi hizo hapo juu. Nina degree.

Thanks.
 
kabla ya kusoma inabidi ujiulize utafanya kazi gani baadae!!
Hapana mkuu, tunasoma kuondoa ujinga, kazi/ajira ni matokeo. Hata hivyo sijui kwa nini amespecify kuitaka ya teller, asije akakwapua mzigo huyu!
 
sasa unakasirika nini mpendwa?

mtu anakwambia "kabla ya kusoma ujiulize utafanya kazi gani?" kuna mtu mwenye guarantee ya future yake jamani! Yeye aliyepanga atafanya kazi gani kabla hajaanza kusoma na akaachivu hongera zake
 
mtu anakwambia "kabla ya kusoma ujiulize utafanya kazi gani?" kuna mtu mwenye guarantee ya future yake jamani! Yeye aliyepanga atafanya kazi gani kabla hajaanza kusoma na akaachivu hongera zake

ni kweli mambo huwa yanabadilika. Tunafanya kazi tofauti na tuliyosomea au tunasoma ambayo hatukuyataka.
Usimind anyway.
Good day.
 
hapana mkuu, tunasoma kuondoa ujinga, kazi/ajira ni matokeo. Hata hivyo sijui kwa nini amespecify kuitaka ya teller, asije akakwapua mzigo huyu!

nataka nipate experience kidogo maana nataka nisome mba this year.

Nikipata nitaanza na kukwapua mzigo wako jabulani so take care
 
Back
Top Bottom