Soma Tena uzihuyo teller ni mzembe kwa nini asingehesabu
Wizi kama anaosimulia uliwahi kutokea mwaka 2008 branch mojawapo ya Dar, tena ya benki kubwa tu hapa bongo. Yaani ilikuwa hivyo hivyo ila wale walikuwa na begi liko chini miguuni waliporudishiwa wakainama na kuchukua mzigo feki then wakasema tupatie tu kwa hiyo rate. Baada ya uchunguzi wa CCTV kamera ikabidi asamehewe tu, wizi mdogomdogo unatokea sana ndani ya mabenki na hutosikia kwa vyombo vya habari.Stories ya kutunga haiwezekani. Yani upewe kibunda bila kuzifungua.
Otherwise tuambie ilitokea wapi?
At least asante.Wizi kama anaosimulia uliwahi kutokea mwaka 2008 branch mojawapo ya Dar, tena ya benki kubwa tu hapa bongo. Yaani ilikuwa hivyo hivyo ila wale walikuwa na begi liko chini miguuni waliporudishiwa wakainama na kuchukua mzigo feki then wakasema tupatie tu kwa hiyo rate. Baada ya uchunguzi wa CCTV kamera ikabidi asamehewe tu, wizi mdogomdogo unatokea sana ndani ya mabenki na hutosikia kwa vyombo vya habari.
kwa namna ulivyo malizia hapo mwisho ni wazi kuwa wewe ndiyo huyo Teller 98%Iko hivi..
Jamaa mmoja alikuwa na Dola za kimarekani elfu kumi (kama milioni 20 za kitanzania). Akafika bank na kwenda dirishani moja kwa moja.
Baada ya kufika dirishani akampa pesa hizo dola ili abadilishe na kuwa pesa za kitanzania. Yule teller akapokea na kuzihesabu pamoja na kuhakiki kama ni halali. Baada ya kuridhika nazo kuwa zipo sawa wakati anataka kuanza kuhesabu za kitanzania yule jamaa akauliza exchange rate ipo vipi?
Akatajiwa akasema ndogo sana naomba dola zangu. Akarudishiwa akajifikiria kama sekunde kadhaa akamrudishia tena yule teller basi nipe hivyo hivyo tu.
Yule teller bila hata kuzikagua tena zile Dola akapokea na kuanza kumuhesabia jamaa pesa zake na kumpatia.
Jamaa akaondoka, kufika muda wa kufunga hesabu anafungua zile dola anakuta ya juu na ya chini ndio pesa halisi. Yaliyobaki yote makaratasi.
Maoni yangu:
Matapeli wawe wanachomwa moto maana wanaharibu maisha ya watu fikiria pesa zaidi ya milioni ishirini unaenda kumtapeli mwenzio ni sawa na kutaka kumuua.
Nawasilisha.
Soma Tena uzi
Yaani mkuu ukisoma hivyo utafikiri uongo, kuna mdada tena wa benki hiyohiyo tawi jingine la hapo Dar. Alikuwa anaishi na mshikaji tu watoto wa mishen town hawajaoana rasmi. Akampanga demu, kila subuhi anakwenda anachukua mzigo anafanya mishe zake jioni anarudisha. Mara ya mwisho kapewa 30 M jamaa hakurudi hadi branch inafungwa, sister kubanwa kasema kila kitu na jamaaa sidhani kama walimpata.At least asante.
Mkuu nilihusika kwenye investigation kabla sijabadili fani, kiufupi kuna matukio kama hayo kibaokwa namna ulivyo malizia hapo mwisho ni wazi kuwa wewe ndiyo huyo Teller 98%
katunga hii niliskia zamani sana nayo ilikuwa ya kutungwa.Stories ya kutunga haiwezekani. Yani upewe kibunda bila kuzifungua.
Otherwise tuambie ilitokea wapi?
Mkuu mimi nina ndugu yangu dada kabisa yupo mahabusu katapeliwa milion 30 kwa mtindo huu huu, unaweza usiamini maana adi mimi mda huu sijaamini ila ndo uhalisia ila wanatumia dawa maana adi uje kujua ni wakati unafunga hesabu au kesho yake, nasubiri weekend nikamsalmie gerezani japo kachanganyikiwa kabisa, daahStories ya kutunga haiwezekani. Yani upewe kibunda bila kuzifungua.
Otherwise tuambie ilitokea wapi?
Sasa mimi nakwambwia hiyo ya 2008 ilitokea kabisa nakuhakikishia kwa asilimia mia, tena wale walikuwa na kama USD 20K. Tena waliokuwa wafanyakazi miaka ile walisomewa hadi email toka HQ kuwatahadharishakatunga hii niliskia zamani sana nayo ilikuwa ya kutungwa.
Yaani sababu ni hiyo ila pia na kufanya kazi kwa mazoea, ila hizo mateller wazoefu huwapigi kabisa kwani zishatokea mara kadhaa huko nyuma.Mti ashachoka na kazi unafanya vitu vila umakini na mshkaji lazima atakuwa alienda jioni hivi wakati umakini wa teller umepungua sanaa...!! Anafanya faster awahi kumalizaa