Ni balaa, na bado wanaendelea kuitafuna nchi yetu na sasa hivi wanafanya kibabe kabisa! Nimefunguwa thread mbili nyingine utaziona na utashangazwa Zaidi!Viongozi wa awamu kuanzia ya tatu mpaka sasa ni mafisadi wakuu.
Wamewafanya WaTz kuwa maskini kila siku huku wao wakineemeka na familia zao
Hao wahindi walikuwa na ushirika mzuri sana na First Lady wa awamu fulani hivi.. NGO zilianzishwa kufunika huu uozo M Bank ilikuwa mali ya Che *mundu na familia na swahiba wahindi.
Hii ndio sisiem
As always..a looser Trying to justify their loses and looking for sympathy.Leave out the police and all instruments of oppression and let the electoral process take its due course; free and fair. Surely asking for that cannot be equated to being "Mwamba Ngoma-------", or is it?
Aisee Mr. Bic ..Embu tuendelee kuconect the dots kuhusu Bank-M. Tutakutana next time on another thread inayohusu hayo unayotaka kuyafanya marefu kwenye uzi huuI had to come back and ask: are you reading this correctly, or are you totally confused about 'Lowassa kurudi kwao'?
Nadhani umekosea kidogo hapo kwa kutoitaja awamu ya pili ya Rais Ali Hassan Mwinyi. Hiyo awamu ndio iliwafungulia milango ya Ikulu wafanya biashara aka walanguzi. Ufagio wa chuma aliokabidhiwa Rais Mwinyi badala ya kutumika kufagia uchafu na kuutoa chumbani, uliufagia na kuuhifadhi chini ya kitanda chumbani. Wakati wa awamu ya kwanza Ikulu iliogopwa kama ukoma lakini sera ya Mzee rukhsa iliigeuza sebule ya Ikulu na kuifanya mapokezi ya wafanya biashara. Ilifikia pahala Ikulu ikafananishwa na pango la walanguzi.Viongozi wa awamu kuanzia ya tatu mpaka sasa ni mafisadi wakuu.
Wamewafanya WaTz kuwa maskini kila siku huku wao wakineemeka na familia zao
Hao wahindi walikuwa na ushirika mzuri sana na First Lady wa awamu fulani hivi.. NGO zilianzishwa kufunika huu uozo M Bank ilikuwa mali ya Che *mundu na familia na swahiba wahindi. Hii ndio sisiem
Great article. It is a pity most people will not have the patience to go through it all and thus fail to grasp its significance and relevancy to the woes that afflict us as a nation. I believed, I believe and will continue to believe that the number one enemy of the people of Tanzania is this monster called CCM. Until such time that the majority of the innocent citizens of this republic wake up to this fact, the country will continue to be torn to pieces by this group of gangsters. We have but one task if we want to save it, and that is to stop them, otherwise we will be left with no country at all!CORRUPTION SCANDALS were a recurring feature of Tanzania’s political landscape at the start of the twenty-first century, against a backdrop of rapid economic growth and global integration. Grand corruption cases in public finances implicated senior politicians, high-ranking government officials, domestic industrialists, and multinational companies in a series of illegal activities involving bribes, kickbacks, and the theft of public funds. In October 2014, the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) found itself embroiled in a corruption scandal that once again caused significant turbulence within the highest echelons of the state...
Nilikuheshimu nikadhani unakitu kichwani cha kuweza kubadilishana nawe; sina mda na upuuzi huu.As always..a looser Trying to justify their loses and looking for sympathy.
Now that's some great news..heshimu wazazi tu. Sisi wa mitandaoni we don't need respect.Nilikuheshimu nikadhani unakitu kichwani cha kuweza kubadilishana nawe; sina mda na upuuzi huu.
.inawezekana thread imesheheni facts za kutosha lakini, pengine kwa nia ovu ya kutaka kuunganisha uchafu huu na utawala wa JPM,
Makamanda mlideki barabara kwa ajili ya rais wa mioyo yenuSi amerudi huko nyumbani kwenu?
Yani kwenye hii thread huu ndiyo umeamuwa uwe mchango wako? Are you a a he or a she? Damn! You are a disgrace to this nation.
Ngoja tutaona. Soma vyema lakini, unamfahamu RA?
Nawewe unaamini hiki ulichoandika! wanaowaita wadanganyika hawakosei
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unanifananisha na wale vijana wa chadema, ndo kusema vijana wa ccm wao maisha yao yakoje? Wale siyo vijana wenye kuhitaji msaada? Wewe unawatizama kwa jicho gani? Unadhani kwanini wanaonekana wamechoshwa?Makamanda mlideki barabara kwa ajili ya rais wa mioyo yenu
Nyakati hotofautiana na vivyo hivyo mambo hufanyika kwa wakati wa nyakati husika.Ndiyo, lakini “tafsiri ya ukichaa ni kurudia kufanya jambo flani ukitegemea kupata matokeo ya tofauti”
Umenena vyema. Mimi naona tunarudia yale yale boss.Nyakati hotofautiana na vivyo hivyo mambo hufanyika kwa wakati wa nyakati husika.
Hivyo la kujiuliza, nyakati hii je, ni wakati mwafaka kwa yale yanayotendeka?
Au, je, ni sahihi kuhusisha yaliyofanyika nyakati zile na ya sasa au tunatumia historia kurekebisha, kuboresha au/na kurudia yale yale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeunganisha maswali na majibu ya wachangiaji, wa bandiko kuu, ambao wanalaumu au kusifu hatua zinazochukuliwa na Awamu hii ya Utawala.Umenena vyema. Mimi naona tunarudia yale yale boss.
Mbowe baada ya kupewa dhamana amekimbilia ofisini kukagua kama Lowasa ameondoka na pesa ya ruzuku .
Labda wametumia ile falsafa ya “if you can’t beat them, join them”Nimeunganisha maswali na majibu ya wachangiaji, wa bandiko kuu, ambao wanalaumu au kusifu hatua zinazochukuliwa na Awamu hii ya Utawala.
Hivyo, swali la msingi ni kuhusu uwezo wa Utawala wa sasa kupambana na mbinu za hao, nikiwaita "mafisadi wa kimataifa".
Sent using Jamii Forums mobile app