Bank gani nzuri inayotoa mkopo

Nenda access utapata mkopo wa chapchap hata kwa siku 2 tu ila riba, yao itazalisha bajaji nyingine

Ukitaka riba nafuu ni nmb tu ndio wenye riba nafuu
Ila hupati mkopo bila kua na mzunguko na kibank lazima acount yako izunguke kwanza
Mkuu NMB wameanza kutoa mikopo ya biashara kwa wateja wapya?
 
Jaribu kucheki na Azania Bank, riba zao ziko chini kuliko NMB na CRDB,
 
Kiongozi tembelea tawi husika kujua vigezo na mashariki, ile ni ofisi takayokwambia hapa pengine yamebadilishwa
Kwa sasa nipo nje kidogo ya tz nauliza hivyo kufanya tathmn ili nijue wap kwa kuanzia. Tusameeane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom