luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,406
nenda Equity Bank utasaidika
hizo bank zenu za dar sisi wa mikoani hatuzijui
Unataka ukawape watu faida wakati una godoro na ceiling board nyumbani.
Hifadhi pesa zako kwenye godoro, hutakua na foleni ukizihitaji wala hutakatwa bank charges wala hutakua na system outage wakati ukihitaji kuzitumia.
Kafungue Barkleys wako vzr na ukihitaji msaada ni pm nikuunganishe na mtu atakayekusaidia kufungua fasta