Bank gani ambayo watanipa mkopo haraka?

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Jamani ninaomba mnisaidie ni Bank gani ambayo itanipa mkopo kwa kipindi kifupi?
Ninahitaji BANK ambayo watanipa mkopo ili nilipe deni kidogo la mkopo wa Bank fulani kama 3.7 million ili nipate tofauti yake niendelee na Bank mpya.
Mimi ni mfanyakazi muajiriwa wa shirika. Nina shida imenikuta ya dharura.

Nisaidieni kunitajia hizo Bank niwatafute wapendwa wana Jamii forums.
Asanteni
 
Unahitaji mkopo wa haraka au nafuu? kweli TZ inatisha badala watu ku-compare interst rate ndo bado mnaamngaikia upatikanaji? kweli nchi inatisha
 
Tatizo benki nyingi LOAN MANAGER wanapenda cha juu ndiyo upate haraka. Kwa kweli nchi hii benki zina riba kubwa ajabu,posta ni wazuri ila pia crdb.
 

SCB

Interest 16, loan factor 13 times ,debit ratio 45, repayment period 5yrs
 
access bank ila nao wako faster kuja kuchukua vitu ulivyoweka kama dhamani wakati ukichemsha kulipa
 

Okay, ngoja nitafute taarifa hizo nitazimwaga humu.
 
Bila rushwa huwezi pata mkopo haraka utakuwa unapigwa dana dana
 
SCB

Interest 16, loan factor 13 times ,debit ratio 45, repayment period 5yrs

Ndugu hicho ni chambo tu hakuna lingine hapo. Hawa nao ni wabayaaaaa!! Kwani hiyo ni kama unapata net ya Milioni tano na kuendelea. Kati ya tano na tatu ==> 18% chini ya hapo 22 ama 20%. Unapigwa lungu kwenye Bima na Processing fee ( ambayo ni kama 2.5% admin fee na .68% kwa bima).
Uwe makini na kila benki lengo lao ni kuchukua chako mkuu..
 
Bank ABC
 

processing fee ya nini? si tayari washaweka interest? Huo ni wizi wa mchana.
 

Mkuu tushauri basi benki ipi , mie ninataka kuchukua Mwezi kesho na hiyo ndio niliona best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…