Bank nzuri ni assets tu hakuna zaidi ya hivyo,bank kama kukaa hela isizidi mill5/10 kwa sisi maskini na hii ni kwa ajili ya dharura za kimaisha then nyengine wekeza kwenye vitu vinavyohifadhi hela yako kwa faida kama viwanja mashamba etc.
Usije ukanunua gari ukasema ni asset,hiyo ni sawa na kuweka dhamana hela yako mahali kasoro ni kuwa unakuwa unatembea huku ukiiona.