mAgaziJuTO.
Senior Member
- Feb 22, 2014
- 119
- 37
Matangazo yenu yanasema mnatoa mkopo ndani ya SAA 48. Fomu yangu imepitishwa na utumishi wiki ya tatu sasa sijapata pesa. Customer care mnatumia simu za mezani ambazo wengi hatuwezi kuwapigia na hata mkipigiwa hampokei. Mnafanya vibaya kwani wengine tunakopa ili kutatua matatizo ya ghafla kama maradhi.
Badilikeni tafadhali.
Badilikeni tafadhali.