Banjuka tu, sahau shida

Si uliniambia historia yake,sasa si wewe mtu akikutukana unamkalia kimya tu au?mie namjibu atakavyo.


Hii lecture yako wala haisaidii,ishia hapa
Wamfahamu?
Kama ni mpole kua mpole huku pia.. sio kwakua watu hawakufaham ndio unawajibu vyovyote unavyojisikia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]same here

Ila mie ni kila siku na huwa,na huwa napenda mwenye misukule wengi
 

Nipo safarini kwenda Libya vipi wadau nitafika salama?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…