FRANK JOEM
Member
- Jan 2, 2019
- 59
- 42
Ni miongoni mwa misemo ya kiswahili ( Metheli) ya wahenga sina uhakika kama karne hii yupo alie kuwapo kabla ya ujio wa methali hii nimefundishwa darasani kwa levo zote za elimu yangu na pia nimefundishwa na walimwengu nje ya darasa lakin bado tafsiri imekua tatizo kwangu tunatofautiana uelewa shusheni maana zenu mwalimwengu mwenzangu...!!!