Ujumbe mzuri.....India kunani jamani kila wiki lazima usikie tukio la ubakaji tena mengine hadi kuuwa...au sababu kuna mageti makali au hamna mitaa mitaa kama ya kona bar na buguruni kama huku kwetu au. Nafikiri India inaweza kuwa nchi ya kwanza yenye matukio mengi ya udhalilishaji kwa wanawake duniani.