salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Mmh hadi kwenye ch..p ya mkeo utakuta bango lao naona una aminia sana chama!Niliwaambia subiri chama dume lianze kampeni, mtapotea!Hata chooni utakuta bandiko, kachungulie hata chini ya kitanda CCM tuko!
Mmh hadi kwenye ch..p ya mkeo utakuta bango lao naona una aminia sana chama!
Mmh hadi kwenye ch..p ya mkeo utakuta bango lao naona una aminia sana chama!
Hii imekaaje wajemeni nikifungua email zangu nakutana na bango la mgombea la kijani? yahoo wamenunuliwa au ni machakachuzi ya tcra? Ina maana email zetu zinasomwa juu kwa juu bila ridhaa yetu? ni uzandiki gani huu?
ndo nani?lowasa ana mbinu balaaa jana ccm walipiga kelele majungu hadi matusi ili watengeneze habari mzee kawajibu kwa kuamka asubuh na kwenda gongo la mboto leo vyombo vya habari vinazungumzia lowasa kupanda daladala na sio mkutano wa ccm lowasa balaa kupanda daladala kwa lowasa imekuwa ndiyo discussion mjini na vijijini na sio sera za magufuli jana, 😃😃😃😃 kweli lowasa noooma watu washasahau kuhusu magufuli na kina mkapa wake leo siku nzima habari ni lowasa lowasa lowasa
copied
LOWASA ANA MBINU BALAAA JANA CCM WALIPIGA KELELE MAJUNGU HADI MATUSI ILI WATENGENEZE HABARI MZEE KAWAJIBU KWA KUAMKA ASUBUH NA KWENDA GONGO LA MBOTO LEO VYOMBO VYA HABARI VINAZUNGUMZIA LOWASA KUPANDA DALADALA NA SIO MKUTANO WA CCM lowasa balaa kupanda daladala kwa lowasa imekuwa ndiyo discussion mjini na vijijini na sio sera za magufuli jana, 😃😃😃😃 kweli lowasa noooma watu washasahau kuhusu magufuli na kina mkapa wake leo siku nzima habari ni lowasa lowasa lowasa
Copied