Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 Sep 25, 2013 #41 Manosa said: kazi tunayo!bora kiswahili tukikazanie zaidi huku kwa watu tunatia aibu jombaa Click to expand... Its too late
Manosa said: kazi tunayo!bora kiswahili tukikazanie zaidi huku kwa watu tunatia aibu jombaa Click to expand... Its too late
M Manosa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4,510 Reaction score 3,594 Sep 25, 2013 #42 Ushirombo said: Its too late Click to expand... Tukianza sasa hatujachelewa,
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Sep 25, 2013 #43 Wewe Majengo umeenda kufanya nini.......si upite zako uachane na bango la watu........
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,784 Sep 25, 2013 Thread starter #44 Preta said: Wewe Majengo umeenda kufanya nini.......si upite zako uachane na bango la watu........ Click to expand... Nilikuwa naenda Bar Mpya Sakina. Halafu wewe unapita palepale kila siku unapoenda kwa Ba-Mkwe wako, mbona hujatuleteaga hii! Au kwa vile shemegi zako wote wanapiga kazi kwa huyu mchina!
Preta said: Wewe Majengo umeenda kufanya nini.......si upite zako uachane na bango la watu........ Click to expand... Nilikuwa naenda Bar Mpya Sakina. Halafu wewe unapita palepale kila siku unapoenda kwa Ba-Mkwe wako, mbona hujatuleteaga hii! Au kwa vile shemegi zako wote wanapiga kazi kwa huyu mchina!
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,355 Reaction score 13,147 Sep 26, 2013 #45 pantheraleo said: Baba yangu mdogo yupo kwenye hii kampuni. Sijui ndiye kaandika? Hahaha...... Click to expand... Hahahaha ukoo wa kina Mbor_ hauwezi andika lugha hiyo angeandika kwa kimachame.. Kabati ya Mbeho
pantheraleo said: Baba yangu mdogo yupo kwenye hii kampuni. Sijui ndiye kaandika? Hahaha...... Click to expand... Hahahaha ukoo wa kina Mbor_ hauwezi andika lugha hiyo angeandika kwa kimachame.. Kabati ya Mbeho