Wavuta bangi waliokuwa maskani walipokolewa mmoja akatoa ushauri kuwa ukuta ulio mbele yao unawazuia kuwaona manjagu wakija, kwahiyo wausukume wausogeze. Wakavua mashati na flana zao wakawa wanasukuma ukuta, akapita kibaka akaondoka na nguo zile. Mmoja kati ya wavuta bangi kuangalia haoni mashati, akawaambia wenzake: "Washkaji eeeh inatosha tumekwisha ufikisha mbali hamuoni hata nguo zetu hatuzioni? au vipi.
Gamuma noma!hasa ikichanganywa na kuberi+sigara nyota+mavi ya mjusi au kuku yale meupe,halafu upige mipodo miwili!weeh! Waya umeme unaziona sawa na kamba za kuanikia nguo,unataman utundike sati.
Gamuma noma!hasa ikichanganywa na kuberi+sigara nyota+mavi ya mjusi au kuku yale meupe,halafu upige mipodo miwili!weeh! Waya umeme unaziona sawa na kamba za kuanikia nguo,unataman utundike sati.